Thursday, May 12, 2011

CRIFORD MARIO NIDMBO AITOSA SIMBA

Nashukuru sana wale wote ambao tumeshirikiana kwa wakati wote nikiwa afisa habari wa Simba Sports Club,nashukuru pia hata kwa wale ambao hawakuonesha ushirikiano kwangu na kwa wale wote wanaonichukia,kuanzia May 11 nimeacha kazi ya uafisa habari wa Simba. Hayo ni maneno ya Cliford Mario Ndimbo kutoka katika ukurasa wake wa facebook.

No comments:

Post a Comment